Jamani nyumba za kupanga zina shida sana... yaani usiwe na tumbo la kuhara/kukojoa Au kuingiza Totoz, Utakoma... Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya...
Katika mahali ambapo umezidi kuupiga mwingi ni kumchukua huyu Bibi Wa Pisi kali, paka wa Buluu wewe, much respect brother, you never disappoint, you ain't King of Comedy, You're comedy
@@gloriousgal2001 eti wanataka kufanya😂😂😂😂 Na Huyo mnene mweupe nampenda sana maana anaongea sana😂 Na huyo mlewa kanichekesha alivyosema mna bahati nngewanyea😂😂😂
Alie sikia wanafanyaaaaaaaa gonga like zangu tuburudike na king of comedy Mr JOTY
"Ninachojivunia nisisi walevi huwa tuko wepesi Sana kusema Samahani"
Big up Bro Joti 🇹🇿💪
😂😂😂af kwl
True
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afu kweli
🤣
Nimempenda sana bi Kauye, joti wamekuharibia washone wote wawili au wape body to body hahaha joti you and your team are the best.
Hahaha Hahaha
Jotii hawezi,,anachezea tuu
Majuto alituachia joti i love u from kenya
😂😂😂🤣🤣🤣🤣Joty safiiiii huyu bihi mngoni anaweza sanaaaa
Uyo mlevi anajua sana😄😄😄😄Big up joti😃😃😃.
Katika mahali ambapo umezidi kuupiga mwingi ni kumchukua huyu Bibi Wa Pisi kali, paka wa Buluu wewe, much respect brother, you never disappoint, you ain't King of Comedy, You're comedy
Much loves from 🇰🇪🇰🇪..joti very funny🤣🤣👋👋
*😂😂 Joti umemchukua uyu bibi (mamake mkurya.!!!) 🤣🤣 aaaah hapo nd umeuwaaaa ani wte mpo on 💥*
Hivi ndio huyu kweli ety, UNANIANGALIA NINI NA WEWE MENO KAMA NGANJI🤣🤣🤣, huyu bibi kavu sana
@@2116-n Yani nimefurahi kumuona huyu mama humu🤣🤣
From Kenya Joti ni Moto wakuotea mbali🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Hao wamama wamenifurahisha Sana ety Heeeeeee wanafanya. Joti huwa hukosei 😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Dah sema uyu maza anasauti kali kama kameza switer bna
Joti joti joti asant Sana kutuletea bi kauye mkwe wa kurya boy mama pendo
Joti pisi kaliiii leo nmekufa mbavu jmni🤣hao wamama wameua akyanani nmecheka mpk watu wameshangaaa🤣
"Sina hela nina mzigo tu "🤣🤣🤣
Noma sana aisee
Aaaahahahaaa 😂😂😂
Aiseee #JOTI hauna Mpinzani ndani ya NCHI hii😂🇹🇿😂
Namkubali Sana huyo Mjomba wakuitwa #Zitto💪💪💯🔥🔥
..
Asante JOTI kwa kutuletea BI KAUYE 🤣🤣🤣🤣🤣
Never disappoint Jotiiii 🤣🤣😂😂🤸
Uyo mlevi katisha sana 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Hawa Wamama wananichekesha Sana
Wa mama kisirani🤣🤣🤣
@@gloriousgal2001 eti wanataka kufanya😂😂😂😂
Na Huyo mnene mweupe nampenda sana maana anaongea sana😂
Na huyo mlewa kanichekesha alivyosema mna bahati nngewanyea😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 fala kweli Hawa wamama
@@mzeewajambo8293 🤣🤣🤣
@@allymwashambwa5920 😂😂😂😂Sana
Daah! Jot damuyagu ilo zigo la mwisho uliokujanalo daah hatay alafu daah umeshindwa kulitumia hata me nikilud lzm nije kuuwasha 🔥🔥🔥
Huyo mlevi nimemkubali sana aisee 😂
Wew ndie king 👑 wa comedy
Joti moooore fireeeeee nakuchek frok 254
MAPEPO YAMEKUSHUPALIAAA JOT...😃😁😆🤣😂😅😄😀🤓 MIMI HUWA MGUMU SANA KUCHEKA LAKINI MOVIE ZA JOT HUNIFANYA NICHEKE
Bi Kauye, ndani ya Nyumba🔥
😅🤣😄😄🤣😄😅Mama mkwe wa kurya boy kaamia huku daa daa
Watatu Leo wapi like za joti jmn
Nishai Mtombangile kitwango Mikazo miguno mzee ndinga😂😂
Hawa mama jamani....dah!!! Eti wanafanya🤣🤣🤣🙌🙌
Hahahahaha wamama wametisha sana...Joti leo wamekuweza😂😂😂
ruclips.net/video/wgOvd3qXWlc/видео.html SIO MCHONGO KAFUMANIWA NA MCHEPUKO WAKE
Always doing great work
Hhhhhhh uyu mama amenimaliza kwl eti toka kudadekiiiii
Watching from KSA
From Kenya joti nakukubali sana m nshabiki wako sana
new character good work
Bikauye na mwenzako mmenimaliza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 huyu maza 👐👐 ety wanataka kufanya
Hahahahahahaaaaa joootiiiii aaaiiseee mpo veereeee
Akinywa maji tuu....Gogo 😂😂😂😂
Love from Burundi 🇧🇮
Bibi kauye Leo kaniacha Hoi nimecheka kwa sauti hatari hapa mwendelezo please wa Bibi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 plot 10 Kali sana
Unatoka na mkojo ndani halafu unaenda kuumwaga chooni kwanini usingeenda kukojoa chooni 🤣 😂mama big thumb up
😂😂😂
Ndiyo maana watu hawapendi kuishi uswazi, wanawake kama hawa uchelewi watia mibao utapata kesi🤣🤣
Harafu dk 2 washaenda polisi 🤣🤣
Mabao ya nn, unawapelekea MOTO tu' ..piga sana PARA...!
Joti kakosea wamama wa uswahilini unawapelekea moto kwanza kimya kimya .. halafu unaleta mademu.. midomo zipu kali! tehee!
Hahaha uwii Joti wewe jamani hao mama zako unaanzaje kuwashona sasa 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 haya mambo yapo sana uswahilini
Mlewa ety ningewanyea 😂😂big up my brother 👊
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah nimeangalia hii video nimecheka sana...
Joti always makes people loughing
he never dissapoints! 🤣🤣
ruclips.net/user/shortsMpG0_AB2pkw?feature=share
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😀😀😀😀😀JOT bhnaa et hela ya gest sina ila mashine nnalo ndomana nataka kulitoa njoo nkushone
Ningewanyea 🤣🤣🤣 Nyumba za kupanga ukute wamama wamekaa hivyo Afu upitishe Dem
Nakukubali Mr Joti 🤣🤣
😂😂😂😂😂 mbavu zangu 🙌🏾
Uswahilini aisee😅😂😂😂😂😂
Nimecheka ka msenge😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Hahaha ma bibi wameuwaa😀😀😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Hhhaaah sio kwa hich kichekooo😂😂😂🤌ieheheee kam cjakosea
Hivi vichwa vya hawa wa wamama vimekutana ungo na beseni 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣yaan
ruclips.net/video/wgOvd3qXWlc/видео.html SIO MCHONGO KAFUMANIWA NA MCHEPUKO WAKE
hahahahahhhaa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂hell no
Joti is amazing ila Bi'Kauye shkamoo 🙌
Iyi moja sijaipenda. Aina usheshi
Anna from Kenya love u joti show ysko
Eti ntawashona mm 😂😂😂🤣🙌🏻
Huhuu unge m buruza mmoja au apo apo nje mdandie umbea tu, nanyie wakaka mmezid
Mna bahati ningewanyea 😂😂😂😂
Mamae mlewa
🤣🤣🤣🤣
😹😹😹🙈
Hahaha mlewa maku..!
Jaman izi nyumba zakupanga izi
Aaaah Wana taka Kufanya 😂😂😂😂
Ni ijumaa nyingine Tena mapemaaaa 😁😁😁😁👏👏👏
Macho yalivyo muiva mekunduuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣joto ni msenge unatutoaga San stress
Wanataka kufayaaaaaaaaa............ahaaaaa wanafanyaaaaa.....
Ila binti ana mkiaa 👀
hatari sana joti uko vizuri
Nimecheka sana. Mko vizuri😆
ruclips.net/video/wgOvd3qXWlc/видео.html SIO MCHONGO KAFUMANIWA NA MCHEPUKO WAKE
Haaa wanigatuliq, haaa God bless more
Kijanaa anakata gogooo 😂😂😂😂😂😂😂 MLEWAAAA😂😂😂😂😂😂😁😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nani mwenyewe amefurahi gonga likes hapa
ruclips.net/user/shortsMpG0_AB2pkw?feature=share
Anataka kuwashona bib zake
Pamoja
We huwezi m naweza😃😃😃
😁😁😁 hayondo na mimi yananikuta ga ninapokaaa ivoivo duu kumbe tunao onewa tukowengi kwenye nyumba za kupanga😁😁😁
Wow nice video 📸
Nitawashona mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri 😂😂😂😂♥️
🤣😂 Bro Fanya Movie Na Mkojani Bro 🤣😂🤣😂
😂😂😂 Salute Sana brother
Hana nguvu mpeni testi ya kachumbari hahaha 😂😂
Vivunja Rizki😂😂😂😂
Lodge vp me cna ela 😂😂.
Aah wanafanyaaa🤣🤣
Jot msenge sana unafanya naumwa mimi
Duuu uyobibi noma namkubali sana
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁mwaka huu lazima uoe na mwaka mwenye bado miezi 2 na masiku kadhaa
Huyo mama mwenye kijora cha pink hatari kauaaa..🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahah
Nishai Kama nishai
Big done sana
Huyo mama mpya katiwa NDIMU balaa! Hahahaha ni kama mtu aliyepania kuwepo humu!
Huyu mamah ni star pia kivyake
@@athmanhussein454 Kumbe? Aitwa nani?
Nmemuona mama mkwe wa Kuliya boy natumai soon kumuona Kulyaboy 😂 na Joti
Wamama wengine wanazingua 😂😂😂😂
Huyo ndo nishai bhana 🤣 ungemvutia m1 ndani ukapunguze mzigo 🤸
Huyo mmama bhana.. eti aaha wanafanyaaa😂😂😂
#Nitawashona #SinahelaYaLodge 🤣🤣🤣😂 Daah Joti hujawahi ziacha salama mbavu Zangu
Nimecheka kifala sana sana 😄😄😄😄😄😄